Mwongozo Wa Biashara Ya Mtandao Ya Kampuni Ya Green World Kwa Afrika Mashariki

Kufanikiwa Ndani Ya Kampuni Ya Green World

kufanikiwa ndani ya green world

Jenga Mafanikio Ya Kudumu Leo

Tunakushauri uanze kujenga biashara na kampuni ya bidhaa za afya ya Green World. Unaweza kujenga biashara ya kukupa kipato cha ziada (utakayoifanya katika muda wako wa ziada) au itakayokupa ajira ya kudumu. Kampuni ya Green World inatoa fursa bora ya kitaalamu. Mara baada ya kujisajili na kuwa mwanachama, tunakushauri ufuate hatua zifuatazo kuelekea kwenye mafanikio!

1. Hudhuria Mikutano Angalau Miwili. Shiriki kwenye mikutano angalau miwili upate kujifunza. Unaweza kuhudhuria mikutano inayoandaliwa kwenye ofisi ...... au mikutano iliyoandaliwa na mwanachama aliyekusajili. Mikutano inayoendeshwa na kampuni itatoa taarifa muhimu zinazohusu kampuni. Katika mkutano wo wote utakaohudhuria, jifunze wengine wanasema nini na jinsi gani wanasema. Hii itakusaidia wakati utakapoandaa presentations zako mwenyewe. Tafiti na gundua ni nini kinafanya kazi vizuri zaidi katika biashara yako.

2. Tengeneza Orodha Ya Watu. Tengeneza orodha ya watu ambao unadhani wanatafuta njia za kuweka afya zao kuwa nzuri au kubadili maisha yao kimapato. Kumbuka unachofanya wewe ni kuwataariifu kuhusu uwepo wa kampuni ya Green World. Kwa hiyo anza kwa kutengeneza orodha ya watu unaoweza kujadiliana nao kuhusu bidhaa, huduma na fursa ya biashara ya Green World. Usiache kumpa taarifa mtu ye yote na wala usimjadili mtu na kumwamlia. Andika jina la kila mtu unayefikiri unaweza kumwona. Huwezi kujua ni nani atakayependezewa na ujumbe wako. Tumia video ya Green World kama utangulizi. Ni vizuri zaidi kama ataiangalia video hiyo mkiwa pamoja. Hii inaweka mazingira ya mazuri ya kuweza kusajili mwanachama mpya au kuuza bidhaa.

hatua za mafanikio

3. Andaa Presentations Angalau Mbili. Siyo lazima kuwa presentations zote utakazoziandaa ziwe rasmi. Presesentations nyingine si rasmi kama vile kumwelezea mwezako mkiwa kazini kuhusu video ya Green World na kumpa akaiangalie kwa wakati wake na kisha mkajili alichokiona ..... au kumwomba rafiki akutembelee nyumbani na kupata maelezo ya Green World. Njia nyingine ni kuandaa hafla pahali na kuwaeleza uliowaalika kuhusu kampuni hii. Hakikisha kuwa katika mazungumzo yenu unampa mtu nafasi ya kujifunza zaidi kuhusu bidhaa na fursa hii ya Green World ... na kukubali!

4. Sajili Wanachama. Usajili wa wanachama wa kujiunga na timu yako ya Green World ni kitu kinachofuatia chenyewe baada ya kuzitekeleza hatua za hapo juu. Kwa hakika utapata watu watakaopendezewa na Green World.





<<<< MWANZO